Tanzanians, show us your roads

Mbona Kenya kuna flyovers hadi rural areas?

Mau Summit interchange

Flys over mpaka Rural areas zinakusaidia nini wewe Mkenya Mwananchi wa kawaida??
Dont be lie with Politicians.
Hapo Jubilee Wanawawekea Mpate Kupiga picha during holiday (X-mas & new year)
Wakati pesa ni za Mkopo kutoka Uchina.
Kenyans waambieni hao Politicians mnataka strategic roads sio kwa ajili ya showoff!!
 
Kenyans onyesheni Barabara ambazo zimejengwa kwa ajili ya ku spport Gvt economy kama za Tz.
 
[emoji23][emoji3][emoji16] ndinda umeua alafu unazika sasa.

Nchi ina gdp 99 billion dollars alafu less than 6% of their roads are tarmacked.
226,033km of roads, 161,451km are classified, 82,132 km gravelled.
4300km are tarmacked, 12950km are paved.

That is a failed state
 
Then you must be an even bigger failed state

The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.
 
Barabara zinajengwa kila siku ndugu,tofauti Ni target kila nchi ilizojiwekea,mfano,nyie SGR mmekopa pesa zote China TZ imetumia mizigo yake kujenga, kwahyo tungeamua kujenga barabara Za $3.16 Nadhan mtandao wa barabara ungekua mpana sana,
Report niliopost humu ni ya 2018 Dec ni zilikua 12453 lakini hv majuzi pres alizindua mtandao wa 1500km ambazo zilikua zimeisha tayar...
Miradi inayoendelea nayo ni mingi pia so mayb tunaweza kua na 14000 kwa sasa

Kuhusu yenu umetudanganya sio kwel kwamba mna 18000km huo Ni uzushi nataka official link hapa nakuona ukinipigia story za vijiwe
 
My brother in reality Kenya is more developed than Tanzania,we can't show our roads because tutakuwa tunajidharirisha wenyewe,but we know swahili more than Kenyan,Also we talk more for nothing
Kajifunze kuandika kiswahili urudi hapa
 
As of 2013 matandao wa barabara tanzania ulikuwa 7000km.....kenya ulikuwa 14400km....hapa nimeweka data ya barabara ambazo serikali ya uhuru imejenga zaidi ya 4000km,bongo leteni data ya barabara zenyu zilizo jengwa tangu 2013.
Nyinyi tumeshawapiga gape la zaidi ya 3k kama hutaki acha hulazimishwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…