Tanzanians, show us your roads

We mpuuzi hiyo barabara ya Tanga Horohoro imejengwa na American company ni moja kati ya best roads in Africa, Acha ufala.
 
Report zenu za miaka 7 iliopita hazitawasaidia
Roads quality Index,

Kenya number 60, Tanzania number 93 🙄😱
 
My brother in reality Kenya is more developed than Tanzania,we can't show our roads because tutakuwa tunajidharirisha wenyewe,but we know swahili more than Kenyan,Also we talk more for nothing
Sema kama unataka uraia wa bongo.kujifanya mtanzania wakati kuandika kiswahili chenyewe shida ni uzwazwa.
 
Wakenya picha nyingi mnapiga barabara zilezile kwa position tofauti, tena mnaedit hadi zinaumiza macho
 
yani sai wabongo wamehaha mpka mwengine kaanza strategical...yani hataki kenya wajenge barabara mpka iwe inaumuhimu flani katika hayo maeneo...kwhyo km county haileti faida iwachwe hvo hvo..

mwengine naye ywalia wakenya wanasema kenya wanaleta barabara za mijini pekee...bwahahahaa yani nmecheka sana walai....ccTUUSAN....KUNTEL kakupa baadhi ya barabara za KENHA na KERRA...ukapewa idadi..ukaambiwa kama hzo data si sahihi uje upinge....we ukasepa...ukawa unaongea utumbo tu hku ukijifanya hilo swali hukuliskia...

hv niulize...hv marsabit,turkana,mandera nako ni mijini wanaosema kenya wanatuma barabara za mjini...

na mmkumbuke kenya kuna towns nyingi kuliko tanzania...km unabisha povu ruksa alafu nikupe makavu
 
Nilichogundua kuwa barabara zetu ni nzuri ila zimepigwa kwa simu za Tecno ila wewe mleta mada unaelekea unafanya kazi kwenye mamlaka ya barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…