Tanzanians, show us your roads

Focus yetu kubwa ni SGR, pesa inayotumika uko inauwezo wakujenga km 10000 za lami but haijazuia miradi muhimu ya barabara na madaraja kuendelea kusanifiwa na kujengwa. ..
Look brother GoT have done alot in a period of 4 yrs from SGR, ATCL imepata ndege 7 mpya do you think hatuwez kujenga barabara?Stiglers gorge dam na miradi mob how comes unawaza tunashindwa kujenga barabara??
Tunafukia magap taratibu lakini mpaka sasa trunk road zote ziko kwa kiwango cha lami, tunaendelea kupanua barabara zilizolemewa na kujenga regional roads
 
cctuusan..kwhyo unapinga km kenya kuna towns nyingi kuliko tanzania?
 
kw mapato yale ya GOT ya mwaka mbn ni kituko...only a fool can believe your ccm propagandas
 
kw mapato yale ya GOT ya mwaka mbn ni kituko...only a fool can believe your ccm propagandas
Ww unajuaga nn zaidi ya milio?
Gov inakusanya kodi,inamapato ya halmashauri na mikopo ya bank za ndani ambazo ndio hutukika kama pesa za ndani hapo bado haijakopa nje pamoja na pesa za wahisani...tatizo lako hupendi kujifunza
 
kw mapato yale ya GOT ya mwaka mbn ni kituko...only a fool can believe your ccm propagandas
Hapa ndio huwa tuwacheka kwa dharau, GoK inakusanya mapato then 55%mishahara,45% inadis appear.

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kumbe teargas we ni camera man wa TV gan?? Hiyo haisomeki vzuri...
Ila bora wee unaajira asee
Mkilemewa mnafocus kwa vitu vidogo vidogo sana. Mwingine alianza kuangalia activities za Nairobi Walker in social media instead of posting photos. Sasa wewe pia umeanza na zako, for your information, I'm not a camera man.
 
Mkilemewa mnafocus vitu ndogo ndogo sana. Mwongine alianza kuangalia activities za Nairobi Walker in social media instead of posting photos. Sasa wewe pia umeanza na zako, for your information, I'm not a camera man.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kusema tu ukweli hii thread imewalemea. Ndio maana waabishi wenyu wakuu wamehepa.
Sio imetuelemea mi nacheka vijembe vinavyorushwa humu...thread si mmeilea wenyewe?kaeni kwa kutulia weka road Za turkana town
 
Hahahaahhaaaaaaaaaa
Mkilemewa mnafocus kwa vitu vidogo vidogo sana. Mwingine alianza kuangalia activities za Nairobi Walker in social media instead of posting photos. Sasa wewe pia umeanza na zako, for your information, I'm not a camera man.
 
Tumeshindwa kwenye lipi kwan barabara au??? uwage na aibu Anko Kenya muishinde tz kwa barabara hahahahaa daaa jf rahaa mweeee
Mkilemewa mnafocus kwa vitu vidogo vidogo sana. Mwingine alianza kuangalia activities za Nairobi Walker in social media instead of posting photos. Sasa wewe pia umeanza na zako, for your information, I'm not a camera man.
 
Hiyo auto CAD ulioyo display huku Tz wanatumia Std IV primary!!!
Kenya hamna kitu nyie
This yr ndo mmeanza ku implement IFMS ( Integrated Financial Management System) -ERP kwenye Gvt Offices.
Wakati Tz since 90's
That is not AutoCAD you idiot. Like I said, stick to the stupid stuff you do. Leave engineering to Engineers.
 
Ww unajuaga nn zaidi ya milio?
Gov inakusanya kodi,inamapato ya halmashauri na mikopo ya bank za ndani ambazo ndio hutukika kama pesa za ndani hapo bado haijakopa nje pamoja na pesa za wahisani...tatizo lako hupendi kujifunza
heheee...sasa umehamisha magoli..mikopo ya benki...ni yale yale tulikuwa tukiwaambia...kuna external na internal debt...leo angalau umeregesha fahamu zako...sasa nenda kaangalie gdp to external debt kati ya kenya na tanzania nani yupo juu...

bwahahaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…