Tanzanians, show us your roads

Buda kwani umeishiwa na mbs nikusambazie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
It is better to close the thread wakenya mwataka kutuvua nguo.....nothing to compare, labda the things that God created, like the Sun,Moon,Air and the like .

Msema kweli daima Mungu humpenda.
Tusidanganyane hapa. Kwa uchumi wa Kenya ulivyo barabara za lami zilitakiwa zifike mpaka vijijini. Tanzania ni kubwa. Uchumi wake sio mkubwa kama wa Kenya, na ni kubwa kijiografia bado mikoa yote imeunganishwa na barabara za lami. Sasa zinajengwa za kuubganishwa wilaya. Wilaya nyingi tu zimefikiwa na barabara za lami.
Hizi picha zinaonyesha vipande vilivyojengwa kwenye maeneo fulani tu. Mtandao wa Kenya sio mkubwa kama wa Tanzania.
 
Kwa nini?
Buda kwani umeishiwa na mbs nikusambazie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…