Tanzanians, show us your roads

Story nzuri sana Hii imekolea zaidi baada ya kuona spaghetti interchange....
Fanyeni kweli tuone
 
Tuusan.....mradi ushaanza,the project is under construction,hebu google nairobi western bypass,design utaipata hapo.
 
The streets in Mombasa are getting better and better. In no time, they will be better than Dar es Salaam.
 
Wise tanzanians wako kimya wametulia wamekubali matokeo kwamba kwa ishu ya roads Kenya iko ahead Tzn mile Mia while Tzn is crowing.
Labda Tzn imeipita kenya kwa dream houses where an average bongolalas can afford to own his his mgongo wa tembo box match primarily coz land is cheap compared to Kenya thus why corporate real estate for renting ni more advanced kuliko Tzn
Hasara ya kila mtu kujenga match box ni the whole Tzn is mega slums unlike Kenya where those can't afford rent and have no piece of land automatically are pushed to dedicated slums
 
Mko vizuri sana Kenya sababu ni moja nature ya mkoloni kwenu na kwetu naona mpaka wazungu ni makondakta wa matatu kweli mlipaswa kuendelea
 
Huna tofauti na kenge
 

Once you begin writing things like Tzn is crowing. I get jittery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…