babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ndugu tusamee sisi wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Road to Lake Manyara by Blinkofanaye, on Flickr
Tanzania ni kubwa kuliko nchi yao alafu Tanzania huduma bora ziko kila sehemu kuliko kwao [emoji3][emoji3][emoji3]Mna bara bara nyingi nzuri but ni za urefu kidogo. Of all those, ni bara bara gani ina urefu zaidi ya Km 100? Hizo bara bara zote ulizozitaja hapo, you can add them na kupata bara bara moja tu ya kutoka Dodoma hadi Babati... Tukawa tumefunga thread...
Hii ni balaa noma sana