Tunasubiria, pia ongezea na hii ya duka lao kubwa, liko lile jengo lenye Sanamu ya Mandela pale J'burg, humo ndani hawajasema/kuandika popote kuwa Tanzanite zinatoka Tanzania, wao wanajitangaza ndio the one and only genuine Tanzanite dealer.
Niliiona mada hii, ila nikaona inataka kufa kimya kimya.
Habari nilizonazo kwa waandishi walioko Arusha kuna moto umeshaanza kuwaka moto. Kama una mawakala uko jaribu kufuatilia.