LEX STEELE
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 224
- 110
hehehe.... list ya ATM zao sio..
Wanaume JF wamejitokeza kwa wingi kuchangia kisa wao hawamo?! 😀
Wanaume JF wamejitokeza kwa wingi kuchangia kisa wao hawamo?! 😀
we mama wee, kwani ile ya pindi chana tulivyojitokeza ni kwasababu hatumo jamani??
unaanza kuniudhi swahiba
Ile wachuchu, wachumba, na vishtobe vyenu havikuonekana kwenye orodha, mkawa na hasira! 😀
Duh! Hivi hiyo lugha ya "Kishtobe" kumbe bado relevant?