Tanzania’s Alphonce Simbu wins Mumbai Marathon

alipoenda mlimpa bendera bona tunamsikia baada ya ushindi, nachoka sana
 
The fact that a Tanzanian thought it fit to post this in the Kenyan section tells a story but so far, the comments by Kenyans on the same tells even a bigger story.
Needless to say there two things on display and they are tipping the scales!: Tanzanian's infriority complex (sadly so). and Kenya's ego.
 
Kenyans have been congratulating the guy without any hard feelings, winning a marathon is not an easy achievement.... their is no ones ego bruised here, Tanzania still has a long way to go in the athletics field, dont start name calling people just because you have won your first major marathon (relatively speaking)
, kama vile nyashinki husema " ambia new comer asijifeel sana we ni mgeni, siku ya kwanza tunakupenda"
 
Ila jamani siyo tulitakiwa tujue kwamba tuna mTanzania kaenda kutuwakilisha kwenye mbio? Na ndiyo angegewa ile bendera?
Yaani msanii kwenda kutumbuiza imesambaa kama moto nyikani ila mshindani kaenda kinyonge sana, kimya kimya.
Wakisemaga kabla na shamrashamra za kumuaga watu wanaloga
 
Ila jamani siyo tulitakiwa tujue kwamba tuna mTanzania kaenda kutuwakilisha kwenye mbio? Na ndiyo angegewa ile bendera?
Yaani msanii kwenda kutumbuiza imesambaa kama moto nyikani ila mshindani kaenda kinyonge sana, kimya kimya.
Nape hakumpa bendera huyu jamaa???
 
Nape hakumpa bendera huyu jamaa???
Labda alimrushia airport jamaa akiwa anaingia kwenye ndege. Tz'ians tumepata taarifa ya ushindi hatukua na taarifa ya mwakilishi kwenye shindano lolote.
 

Sasa wewe ulitegemea Wakenya tufanye nini, maana naona unatutajia mambo ya kiburi/ego. Kwa kweli huyu jamaa wenu Simbu tunampa hongera maana kushinda marathon sio jambo la kawaida, inahitaji juhudi za kiajabu na labda chizi tu ndiye anayeweza kumponda Alphonse Simbu.

Sisi hatuna majungu kama mlivyo, kila siku kuwaponda wanariadha Wakenya.
 
You have started on a very high note! haya mambo hayahitaji hasira. If you google synonyms za ego you'll find
synonyms: self-esteem, self-importance, self-worth, self-respect, self-image, self-confidence. sijui ipi imekukeketa?
 
ego: synonyms: self-esteem, self-importance, self-worth, self-respect, self-image, self-confidence. substitute kwenye ego. soma mara kadhaa. ukielewa rudi na comment.
 
The guy is our flag carrier.
Bravo and keep it up.
 
My God!!! Hii thread ni ya 2011?????????? Pongezi Rimbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…