gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
1. Air Tanzania haina ndege ya mizigo 2. Haina route za ulaya. Ufikiri kwanza kabla ya kuandika upupu wakostakehigh,
Una ndege zenye njaa ya trips
Husafirishi,unampa Rwandair?
Akili au matope?
Na any takwimu from the government ni useless,will never believe them!
Kabisa!
1. Air Tanzania haina ndege ya mizigo 2. Haina route za ulaya. Ufikiri kwanza kabla ya kuandika upupu wako
Hata hiyo daladala kutoka kwao kwenda Kariakoo lazima ipate kibali cha LATRA au anadhani ni kujiendea endea tu mradi uwe na ndege!?Unafikiri ukiwa na ndege tu baasi unasafirisha popote?
Kuna masuala ya vibali n.k, nchi yako inayo unadhani dunia nzima?
Kikubwa parachichi na samaki za watz na zinauzwa huko nje bila shaka huko mbeleni serikali yako itaona namna isafirishe kwa ndege zake yenyewe zile mbovu mbovu kama tulivyoambiwa na zitto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Rwandair tayari ina stake kubwa ya usafiri wa watu na mizigo kwenye route hizo hivyo wanakuwa na more competitive advantage ikilinganishwa na Air Tanzania. Ni more economical kutumia ndege za shirika jingine kuliko kulazimisha la kwetu kupeleka mzigo midogo midogo bila hata ya kuwa na requisite base. Mdogo mdogo tutafika.Usipende kulialia kama dent wa form 1C kabla ya kujua sababu.. ATCL haina kibali cha kutua nchi yeyote Europe hivyo haiwezi kwenda huko, inafuatilia hivyo vibali hivi sasa.