Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
CRDB na ndugu yake NMB wako wapi? Hata DTB chali?
Wanajua kukata salio tu hawaYale majinamizi ya CRDB na NMB yako wapi!!
Criteria ni zilezile tu boss. Poleni boss kama hampo kwenye listTujue Criteria zilizotumika.
Maana tunaweza kuwa tunajadili kumbe hata The Big 2 hawakualikwa kuhudhuria katika shindano .