Tanzania's BRT system has been running for 3 years

Ata ukitaja neno companies haiondoi ukweli kuwa ni biashara ya matatu, ambayo hayana tija kama BRT. Dar pia kuna ma bus mengine zaidi ya BRT, na usi compare Dar na Nai kwenye public transport ni ardhi na mbingu. Bus za kawaida za Dar zina bus stops zilizokua civilised ambazo Nai hamna, angalia mfano wa vituo vichache. Kwenye hili Nai mkasome upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Long way to go.
Capacity of 200,000 people a day is nothing to brag about.
Citi hoppa alone probably carries more than that.

[emoji13][emoji13][emoji13]hivi huwa mnakunywa pombe hamjala???

Ukisikia BRT basi unadhani dar nzima usafiri wa uma ni hizo BRT za watu 200k pekee!!!

Ukileta huo ujinga wa matatu,tunaweka sahani moja na kitu zinaitwa daladal,utajua hujui mzee baba.unajua daladala zinabeba watu wa ngapi kwa siku[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️[emoji1552]‍♂️.ukisikia waweza lia.

Bado hatujaweka city train.kuna route tatu kila moja inakwenda mara tatu na kurudi ikiwa imejaa sana.
 

Jifunze kuelewa.
Until your BRT starts carrying at least 2 million people a day, it is not worth talking about.
 

We're talking of subways and light railways, na wewe unaongea kuhusu bus stops?
 
Jifunze kuelewa.
Until your BRT starts carrying at least 2 million people a day, it is not worth talking about.

Sasa wewe ndio kilaza BRT imechukua route ambayo haizidi 5% ya city routes.

Na unataka ibebe watu 2mil???hiyo ya nairobi kenya uliyoitaja hujasema inamiliki nganya ngapi??Na ina route ngapi hapo nairobi,niko shure ina hold more than 50% ya matatu yote.
 
Wakenya wapuuzi kweli. BRT inatengeneza pesa asikwambie mtu.
Nauli ni sh. 650 kwa kila abiria.
Wastani wa wanaosafiri na Dart ni 200,000 kwa siku. Inamaana kwa siku total ni 130,000,000
Kwa mwezi ni ni Tsh 3.9b
Nisawa na $1.7m
Sasa hebu fanya kwa 12 months
$20.4m
For three years $61.2m
Hivi manyang'au mnaelewa lakini business!?
Ikikamilika ya mbagala. Let say ikachukua the same passengers 200,000 per day that mean in one year $40.8m per year.

Hebu tuende sasa.
 
Mbagala nyomi kubwa ni zaidi ya 200,000. kipande kile kinaeza kuwa na zaidi ya wakazi wa Nai

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wa Nairobi hawaijui Mbagala ndugu yangu, lkn all in all kwa watu wa Nairobi hawezi comment kitu chochote kuhusu BRT sababu hamna experience from the ground ... embu mtusikilize tu ss wa tz maana mataifa tofauti ndani ya Africa washakuja kujifunza juu ya huu mradi Kenya ikiwepo, Zambia, Zimbabwe list nyingine nimesahau lkn ni kiasi kikubwa cha pesa kinatengenezwa per day, hapo mdau amepigia hesabu za fasta fasta ... na mfano iyo phase 2 itakapo kamilika honest speaking itakuwa ni pesa kubwa mnooo itazaliswa kushinda phase zote maana mbagala ni sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi ambao wanaingia city center hasa kkoo ...... itakuwa ni lesson ya kuja kujifunza pia maana design yake ile ya phase 2 ni ya kipekee sanaa yaani main station kutakuwa na maduka mean ajira zitazalishwa hao hapo yaani sawa na kupiga ndege wa wili kwa jiwe moja
 

Endeni mjenge brt inayohudumia mji wote.
Sasa hivi hakuna chochote mnacho. Nothing to talk about.
 
Tafadhali naomba utofautishe kati ya Millioni 5 na elfu 5, Kibera yote ni 2.5M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…