joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hayo ni high capacity town buses, without dedicated lanes, haziwezi kuwa BRT, zinabaki kuwa big matatu.Matatu zitaacha tu kati kati ya jiji la Nairobi (CBD).
Alafu, mwezi huu tunaleta mabasi 64. Hiyo ni pilot project.
Nairobi inahitaji karibu mabasi 1500.
Ujenzi wa BRT utaendelea kama haya mabasi 64 yako tu.
BRT Tz hipo miaka zaidi ya mitatu, nyinyi ndiyo mnaiota sasa hivi. Kama Tz nikupumzika then Kenya ni kufa kabisa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Vipi, "Play Kenyan music" mumefanikisha?In Kenya we dream big.
Sitakulaumu. Najua Tanzania ni kupumzika tu.
Ah wapi! Iokote inachezwa hapa like never before
Hizo buses 64 zitabeba % ngapi ya wasafiri wa Nai?BRT ambayo inabeba 5% ya population.
Angalau fikisheni 50% ya population ndio ujigambe kwamba mna BRT.
Endeni mjenge brt inayohudumia mji wote.
Sasa hivi hakuna chochote mnacho. Nothing to talk about.