Tanzania's Hottest couples

Niwaelly utasutwa ndugu yangu.....sio Mjuni na Imelda ni Mjuni na Hilda, na huyo Hilda hasomi Nigeria, anafanya kazi Nigeria kama rubani

tena atakuja kusutwa na kiduku, thanx kumsahihisha!
 
Hii umeitoa U-turn nini? Na it seems ni ya siku nyinngi, maana nasikia Hilda na Mujuni wameachana au haujatembelea mange's blog siku nyingi nini?

na kisa mme kampiga boot hahaha, anatafutiwa mthungu dubai. yetu macho
 
hehehe eti affluent, stylish, classy and exposed.

Define affluent..........
" stylish............
" classy..............
" exposed............

ndugu tafadhali usichoshe watu bana.
 

vigezo gani vimetumika? Wewe unamjua mzee mwambapa na mkewe atuganile?
 
wote wataachika tu, bado mmoja. wataka wathungu nini! na yule anaemdate kibabu cha kithubgu mbona hayupo pichani!( kile kibabu kisichokuwa na meno) pesa hii. god almight!
 
wote wataachika tu, bado mmoja. wataka wathungu nini! na yule anaemdate kibabu cha kithubgu mbona hayupo pichani!( kile kibabu kisichokuwa na meno) pesa hii. god almight!

vibaya hivyo mwali, ahahaaa yule K.
 
kuwa serious wewe, do you have authrities or u are presuming!think critically
 
Hawa ndio movers and shakers wa Dar Es Salaam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…