Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

Kumbe na ninyi mnapenda kuangalia BBA. Hayo mambo machafu yanayotendeka mmeyajuaje? Heri mimi sijasema
 
hivi lotus ndiyo yule aliyefanana na shabba ranks?


hahahahahaha hata sikuwahi kuwaza kuwa wanafanana hawa watu

mwache atoke tu alikuwa anatafuta umaarufu kwa nguvu sana huyu.
 
Lotus anaewakilisha Tz ndani ya BBA kafukuzwa na mwenye mjengo baada ya kukiuka masharti.
Afazali Mungu Mkubwa nimepumua coz ni aibu na ushenzi mtupu wanachokwenda fanya huko, mjalie na yule mwingine arudi

kisha chomekwa na madume wanhgapi?
 

Sure, utakuta mibaba na mi mama imekaa na watoto wao kuangalia ujinga
 
Mbona bado unaendeleza misamiati bandugu? Amekwaruzana naye katika 'kukwaruzana' au wamekwaruzana?

walibishana na mabishano yakapelekea hasira na kufikiaLotus kumpiga kibao Luclay(msauzi)

wakati Lotus ameondelewa, Luclay kapewa adhabu ya kuosha viombo vya washiriki wingine.
 
Najiuliza maswali ambayo cjawaipata majibu yake.
Huyu BB amapewa na nani kibali cha kufungua danguro kama lile

Peacebm: Kwa Madiba kufungua danguro ruksa ndugu yangu, ili mradi utimize masharti na usikwepe kodi tu. Cha msingi nikuipotezea tu. Mimi nimeamua kunyofoa Decorder fasta kuonyesha kutokubaliana na huo upuuzi.
 
Najiuliza maswali ambayo cjawaipata majibu yake.
Huyu BB amapewa na nani kibali cha kufungua danguro kama lile

Hizi Big Brother zinafanyika sehemu nyingi sana duniani, sana sana ULAYA..tena ndio kiboko, funga kazi.. Unaoneshwa hadi wakiwa wanaoga
 
D a! mie nilikuwa namkubali sana!!!! Lotus, ana mguufulani hivi sijui mnyakyusa yule?!
 
Bora katoka, yeye si ndio alikuwa anataka mwenzake atoke ili abaki pekee??
 
mhh ila kakorofi hako sijui kanaishije na wenzake
 
ugomvi gani huo kampiga au? ila poa tu si juzi alimchagua bhoke ili abaki mtz mwenyewe sasa ona mwenzie anabaki,ila naomba kujua kilichotokea
Alimpiga kofi huyo mshiriki mwenzake.
 
Yametimia! Nilihisi tu hatafika mbali kwa tabia zile alizokuwanazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…