Tanzania's milk imports ban has hit Kenyan dairies hard!

We have already discovered your bushit then wait and see TZ in the future!
 
BTW Tanzania's flower export isn't that far behind. And Tanzania gets tourism revenues more than KE, UG n RW combined

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: UCD
Why you are complaining then!!
wanao complain ni wale wanakuwa affetced moja kwa moja...yaani hizo kampuni zinazopeleka bidhaa tz..ila wakenya ni watu wa ajabu sana...wana chapa kazi kwel kwel...juzi tourism sector was affected because of terrorism, but now, tourism has risen tremendously...ndio nikakuambia kuwa watapata market zingine tu...wape muda....kiongozi hapa EA anajulikana duniani kote...hehe
 
And u die of hunger how true is that advanced economy tag

Sent using Jamii Forums mobile app
hata kuna wazungu na wahindi walio na njaa....my point is every country has its own challenges..but lets not forget who's who in East Africa...lets not forget the giant of this region of Africa...yule ambaye akikohoa wengine wanapata homa..anajulikana peupe...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani Kenya haina competition hapa...waje wengine tupambane..ethiopia wanajaribu lakini bado...niliskia wahabeshi juzi walikufa wengi wakijaribu kuvuka Mediterranean Sea kuingia Ulaya kwa kutumia boti za mitoni....lol!
 
Ha ha ha zako ziko ngapi? Hata sie tumeanza kuja sasa, mtaisoma namba soon. Tuna fedha tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Backresa ni Mkenya wa Kibera? Mo pia ni mkenya wa mathare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In European supermarkets u find all dairy products n the best sells principle applies. The same should be in EAC no President should abuse his power by protection his private business. Mind u Magu motto is tit for tat, n when u say ng'we, more bans r added..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vizuri pia...ila tambua kuwa hakuna nci iliyoendelea kwa mfumo wa tit for tat ama udikteta uchwara...kaulize Kim wa korea Kaskazini..πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata TZ tumeamka katika uongozi wa Magufuli give us only 10 years you will agree with me!!
 
Hata TZ tumeamka katika uongozi wa Magufuli give us only 10 years you will agree with me!!
vizuri amkeni kwanza mmekua mkilala usingizi mzito kwa miaka mingi tu...ila kwa Kenya sahau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…