TANZANIA’s President John Magufuli, once hailed by western media as a “bulldozer of graft” has officially lost the battle against corruption!


If that is so why 1.5T expenditure details and attachments didn't go into the CAG office for him to clear the Audit query,why shouldn"t we speculate that there was mis use of the amount and hence corruptions???
 
Ukiondoa na hilo bado Mheshimiwa ana rekodi au tuhuma za ufisadi hata kabla ya kujinadi kuwa yeye mzalendo. Kumbuka uuzaji wa nyumba za serikali yeye akiwa waziri. Na nyingine alituhumiwa kuwauzia aali zake huku wakiwa hawana sifa na vigezo vya kuuziwa kitu kilichoilazimisha serikali ya JK kuishi mahotelini na kutumia fedha nyingi kuelekeza kwenye ujenzi wa nyumba mpya. Na sasa ni taarifa rasmi za kiserikali, toka kwa mzalendo wa kweli Prof. Assad (Simba).
 

Ukisoma post yangu ilikuwa ikijibu hoja ya mauziano kuwekwa wazi. Sipo kwa hayo ya Assad kwenye post hiyo. Ni kama unapiga u turn.
 
If that is so why 1.5T expenditure details and attachments didn't go into the CAG office for him to clear the Audit query,why shouldn"t we speculate that there was mis use of the amount and hence corruptions???
No matter what do you call it,but the popular majority in the country.
We do understand the use of money on top of the mega projects going on all around
 
mkuu pesa ya umma inatolewa na bunge ( wananchi) kwa serikali ili itumie,Sasa hivi ukichukua Pesa yangu na kuitumia bila idhini yangu hiyo ni nini?
Pesa ni yakwako, unalala sakafuni tangu uzaliwe, walezi wako wa awali hawakujali hayo na wewe ukaxhukulia ndo matakwa ya Mungu.

Nachukua sasa pesa yako kwa sababu huna akili ya kujitambua, nakujengea nyumba na kukuboreshea maisha.

Pesa yako imetumika bila ridhaa yako kukuletea maendeleo yako mwenyewe wala sikutumia kwa manufaa yangu.

Umenunukiwa nyumba ya kisasa, shamba, maisha bora na mambo yako yamekaa level sasa.

Utakuwa chizi wewe ukilalamika eti umeibiwa pesa.
 
No matter what do you call it,but the popular majority in the country.
We do understand the use of money on top of the mega projects going on all around

The fact that you are among of them,you can't see anything,but mind you time will tell and during that moment there will be no coming back
 
Wala sijakuelewa,yaani unachukua Pesa yangu kwa kuwa unaona mie sina akili na Wala wewe mwenye akili hujiulizi kwamba pamoja na Pesa nilizonazo why sijengi nyumba badala yake wewe mwenye akili ukajiridhisha tena kwa vigezo unavyojua wewe kuwa maendeleo ninayotaka mim ni nyumba siyo?i au ili nionekane nina maisha mazuri mbele za watu basi inabidi niwe na nyumba siyo? Sasa naelewa why ninyi ni wezi,kumbe mnatuona mazuzu? Unataka nikuambie sisi pia tunawaonaje?
 
Kama Kafulila bilioni 300 tu za Escrow alikuja na majina ya wezi, account ya serikali iliyochotwa na Benki zilizotumimika kutuibia. Ninyi mnashindwaje matrilioni yote hayo? mnatuletea UMBEA tu!
Hatimaye nimejua tatizo lako...kumbe ni lugha! Kumbe hata hujasoma na kuelewa kilicholetwa mezani, umebaki unaropoka tu na kukurupuka kama dikteta wako uchwara, hebu pitia hapa...

Magufuli is presiding over a corrupt government that spends billions of public funds unscrupulously, with no regard to laws and laid down procedures.
  • Tsh 1.3 trillion (equivalent to $562 million, was “embezzled.” Out of this amount, the treasury faces an audit query amounting to Tsh 885 billion (equivalent to $382.7m).
  • Tsh 432.7 billion, equivalent to $188m, was embezzled through procurement of goods and services from five entities whose suppliers were neither approved nor legally registered.
  • Last year, the audit raised the same query over Tsh 751 billion (equivalent to $324.6m) embezzled in the year 2016/2017.
  • When the re-audit report was presented in February 2019, it revealed further anomalies, with the missing funds shooting to Tsh 2.4 trillion ($1.03bn).
  • For the past three years, ATCL has incurred massive losses. In 2014/15, the losses amounted to Tsh 94.3 billion.
  • In 2015/16, ATCL further made losses to the tune of Tsh 109.2 billion, while in 2017/18, the losses were Tsh 113.7 billion.
 
Using funds without parliament approval is different from stealing as it happened with Escrow or other scandals. We need more information before taking such a position.
dont you associate that with corruption?
 
No matter what do you call it,but the popular majority in the country.
We do understand the use of money on top of the mega projects going on all around
Hapo ndipo watanzania unaona upumbavu wao, hizo pesa wala haziko kwenye hiyo miradi, miradi hii ni mikopo, ndiyo maana deni la taifa limeongezeka mara mbili, msitudanganye, pesa za miradi hiyo mmekopa, tunauliza pesa taslimu za kodi ziko wapi
 
How about squandering trillions of shillings through dubious deals and transactions, including illegal procurements and misappropriation through the country’s treasury.
Well ! May you substantiate these 'shaky' accusations with evidence including some figure, which really lead to conviction of head of current government?
 
Nilikuwa sijui kirefu cha CAG sasa nimekijua kinachifuata ni kutafuta kujua kirefu cha neno ndugai
 
Huyu jamaa akilamatwa n makonda au jerry muro atakom sana.

Hawezi kuwatafsiria mabeberu haya yanayotekea.
Mababeru sasa hivi wanajua kila kinachoendelea nchini.
Sio fresh
Si afadhari akamatwe na hao uliowataja kuliko akikamatwa na lemutuz au musiba maji ataita mma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
How about squandering trillions of shillings through dubious deals and transactions, including illegal procurements and misappropriation through the country’s treasury.
He has done on his best he must not been blamed bcuz in Africa u cannot abolish corruption but u will decrease corruption he decreased corruption not like kikwete,s session corruption was more than this of magufuli in deed.
 
It really defeats my inner soul in reacting to this presentation as it confuses me - IS MAG3 EQUAL TO ANSBERT NGURUMO? I am asking this because it makes no sense to communicate with Mag3 on behalf of Ansbert Ngurumo or the other way round!
 
There are times when you need quick fix to matters that need to be in place urgently and which, if normal procedures will be applied, delays may cause harm to the nation. And these should not be taken as corruption, squander, embezzlement or the alike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…