Hakuna vyuma kukaza kwenye watu ambao hajazoea pesa za ufisadi, mbona maisha matamu sana Tanzania
Njoo ule raha za dunia huku nitakupokea kama ndugu jirani
Lakini si wewe ni wale wa buku saba huwa naskia mkiitwa wana Lumumba, hivyo kwako vyuma haviwezi kukaza, ilmradi unawekewa bundle ya internet na hizo buku saba za kutamba humu ukitetea kila kitu. Ndugu zako wanapambana na ugumu wa maisha.