Tanzania's Standard Gauge Gains Confuses Regional Lobbists

Nakumbuka jk alitaka kujenga barabara ya kutoka musoma arusha ambayo kipande kidogo kingepita mbuga ya Serengeti jamaa wakamind na kutuchongea kwa wazungu kua uwalibifu Wa mazingira mradi ukapigwa chini, hawa jamaa hawana ujirani mwema
 
Nakumbuka jk alitaka kujenga barabara ya kutoka musoma arusha ambayo kipande kidogo kingepita mbuga ya Serengeti jamaa wakamind na kutuchongea kwa wazungu kua uwalibifu Wa mazingira mradi ukapigwa chini, hawa jamaa hawana ujirani mwema
Sio hivyo tu hata tulivyotaka kuuza meno yetu ya tembo walituwekea pingamizi kwenye shirika la CITS tusiuze pembe za ndovu kisa kuna tulizokamata kutoka kwa majangili lakini hatukuziteketeza kwa moto,
 
Ngosha the Don is on his toes accordingly playing the piano as spectators keep on joining him but this ain't a good moment to the fellow selfish Kenyans to see their former allies moving away from Nairobi to EA economic hub (Dar)
 

source?
 

President Monkey see monkey Do... Duuuhhhhh
 
Tourist wakiwa Kibera slums yani wanawaangalia kwenye gari kama vile nyie niwanyama wakihofia flying toilet.View attachment 695929 More tourist in KiberaView attachment 695930 View attachment 695931

sasa hizi ndo slums sasa.
1. a level cross sectional value of the properties. all properties have almost a same value.
2. small parcels of Land.
3. poor building materials.
4. all buildings or huts take same level of physical obsolescence or depreciation.
5. high crime rate.
6. poor public services and amenities.
7. poor sanitation. no proper system of waste collection.
8. very high population density over the area resulted from individual household to have a big number dwellers.

you can go on listing down the features of slums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…