Tanzania's Top Actor( TTP)

Tanzania's Top Actor( TTP)

chikundi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
8,159
Reaction score
2,286
Ni kweli SALIM AHMED ISSAH aka GABO alistahili tuzo ya EATV?
0f0e3013060e54ca2d5bc1fbd35c4b95.jpg
 
Ila haipo jukwaa sahihi maana hii sio siasa
 
Huna mada kakojeo ukalale sio kila aliyepewa tuzo hakustahili
 
Sipendi bongo movies kama ilivyo bongo fleva,Ila huyu jamaa namkubali,sio sharobaro​
Mkuu humu pamoja na wewe tukiuliza ni kwann huyu jamaa ni top watataja ile aliyoigiza kimakonde TU. lkn kuna watu wengine wana movie nyingi zinazojulikana sokoni na ni mzuri tu lkn wala hawakuwekwa katika tuzo. Fanya research tu kwa kuuliza ni movie ipi wanayoijua ya huyu bwana usikie
 
Back
Top Bottom