Tanzania's Victor Joseph

Ole

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2006
Posts
2,157
Reaction score
976

Victor Joseph ameshinda kweye ule mpambano wa Golf kule Thika nchini Kenya. Hongera sana kwa kupeperusha bendera ya Tanzania. Well done, pamoja na timu ya kinadada kule Uganda what a bonus.
 
Victotr Joseph sasa ataanza kuwakilisha Watanzania kwenye PGA tour an mapambano mbai mbali ambayo atakutana na vipanga wa Golf hususan Kina Tiger Woods nk. hongera sana Victor, the way to go.
 
Victotr Joseph sasa ataanza kuwakilisha Watanzania kwente PGA tour an mapambano mbai mbali ambayo atakutana na vipanga wa Golf hususan Kina Tiger Woods nk. hongera sana Victor, the way to go.
Akienda huko unaposema nijulishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…