Sounds good news to me!
So far haina maana kwa watanzania, ni sifa tu wanazozitumia washindani wa Miss-something kujipatia ushindi!.. totally meningless to tzanians!..Acha iishe, huenda wale makaburu wa pale Tanzanite wataacha kuwapiga risasi ndugu zetu pale mgodini!