Tanzanite Price Skyrockets

Nyinyi watu Tanzanite inaweza wasaidia mtoke kwenye umasikini. Lakini muweke national policy ya mining and protection of it. Pia mfanye prospecting mjuwe mna kiasi gani ya Tanzanite chini ya ardhi. Mwishowe mtafute serious investor na mkatane profits 50 - 50, sio 90-10 kama vile multinationals wanavyofanyia nchi nyingi za Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…