Tanzanite Tv Haipo Hewani, Cyprian Musiba Simpati kwenye namba zote mbili.

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena.
Nani anajua kinacho endelea?
 
Yupo chato mkuu
 
Alifikiri mungu wake ataendelea kuwepo siku zote. Alipokufa naye mipango yake ikafa
 
Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena.
Nani anajua kinacho endelea?
ntwa ni ntu alikuwa na id kama hii humu
 
Bwana wake aliyekuwa akimuweka mjini amekufa sasa amebaki kuwa mjane na hadi sasa hakuna bwana mwingine aliyejitokeza kuonesha nia ya kumtaka.
 
Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena.
Nani anajua kinacho endelea?

Kapata jando juzi hajapona
 
Back
Top Bottom