Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
🙏To be remembered, rest well his soul.
Sijui sana ila mwandishi kwao ni Morogoro ,huyu Dilunga kwao ni pwani,Huyu itakuwa ana undugu na yule Dilunga mwandishi aliyekufa juzi kwani...?
May his soul rest in peace. Eimen.
Maulid Dilunga alikuwa wa Morogoro maybe ni majina tu yanafanana, lkn kinachonishangaza sana haya majina ya akina Dilunga wengi wao ni washambuliajiana undugu na Maulid Dilunga?
Said Dilunga ndo amefiwa na babake...halafu yule wa Simba anaitwa Hassan saleh Dilunga ...huenda n majina ya ukoo tu ...R.I.P Abbas Dilunga? Hivi Wale kina Hassan Dilunga (simba) na Saidi Dilunga ( Ruvu Shooting) in ndugu?