Tanzia: Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Ualimu Morogoro afariki dunia

prado

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
216
Reaction score
129
Aliyekuwa mkuu wa chuo ya Ualimu Morogoro zamani kikijulikana kama Kigurunyembe, Mayombo Ngonyani amefariki dunia ghafla jana usiku.

Msiba upo nyumbani kwake Bigwa, Morogoro.
 
poleni wana Motco na wadau wote wa elimu.....naikumbuka Mayombo Day
 
Tutakukumbuka daima, Enzi za utawala wako hakuna Mwalimu aliyelala njaa Chuoni. Mungu akurehemu na Upumzike kwa amani.
 
Tutakukumbuka daima, Enzi za utawala wako hakuna Mwalimu aliyelala njaa Chuoni. Mungu akurehemu na Upumzike kwa amani.

Yeah,He was caring dad and charming....RIP our Father!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…