Wakuu,anaitwa Luteni Ntwa,alikuwa officer in command wa F Coy na mp commander.Amefariki dunia kwa maradhi ya ini usiku wa kuamkia leo hospitali ya Ocean Road D`salaam.Waliokuwa kikosi cha jeshi 821 watakuwa wanamfahamu.May his soul rest in peace the wisest leutenant in the camp.