"Amekosa malezi ya pande mbili" umeandika neno kali sana!Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.
Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
Si unajua hali mbaya mtaani maisha magumu ,hapo kasave 5000 kanywa na maji ,anaenda tu kulalaUmefuata pilau hapo mkuu?
Si unajua hali mbaya mtaani maisha magumu ,hapo kasave 5000 kanywa na maji ,anaenda tu kulala
Hahahahah! Daaah!
Mrembo anakomenti hivi ujue njaa kali.
[emoji16][emoji16][emoji16]Si unajua hali mbaya mtaani maisha magumu ,hapo kasave 5000 kanywa na maji ,anaenda tu kulala
Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.
Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
PoleniAise My Condolesence, to His Family Mzee alikuwa mtu wa watu sana...
Mungu amtie Nguvu kijana wake Jerry Mwambi na familia yao kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu...
akisemwa vizuri ndio anasamehewa dhambi zake?..Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.
Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
Mzee ni kapteni mstaafu wa jeshi pia kama sikosei..Rumors has it kisa cha kutolewa Mkoa wa Rukwa akabadilishana na Mkuchika aliyekuaTanga alipigwa Kamati moja matata. Marehemu alikua na utemi wa kindezi sana enzi akiwa RC Rukwa. Anyway, A.PE.PE.