TANZIA: Beki wa zamani wa Yanga SC na Taifa Stars, Athuman Juma Chama 'Jogoo' amefariki

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Beki wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Athuman Juma Chama 'Jogoo' amefariki asubuhi ya leo, Jumatatu 8/1/2017. Kwa Mujibu wa Azam TV beki huyo amefariki akiwa amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili.


Rest in Peace, Juma

 
R.I.P Jogoo

Yanga ya enzi zenu ilitupa furaha zaidi.. kwa kusikiliza tu redioni tulifarijika.. siku hizi na kuwaona tunawaona ila hata Taifa Stars haijaendelea.. bomu bomu.
 
Mchezaji nguli wa zamani wa Taifa STRAZ Pamba ya Mwanza na Yanga, Athumani Juma (CHAMA)kiboko ya Magolden Boy amefariki dunia leo katika hospital ya Taifa Muhimbili
Itakumbukwa Chama na Mogela walikuwa kivuyio kikubwa katika mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga enzizao.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Athumani Juma Chama Jogoo mahali pema peponi Amini
 
Mchezaji nyota wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Klabu ya Yanga SC, Athuman Juma Chama 'Jongoo' amefariki dunia leo asubuhi Jumatatu Januari 8, 2018 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
 
Pole kwa wafiwa tupo nyuma yake safar yetu ni moja.
 
poleni mno wafiwa wote,marehemu alitumia kipaji chake kwa timu yake na taifa lake,nakumbuka box to box yake na Zamoyoni Mogella,du kipindi nchi ina adabu.
 
Oh poleni wana familia ndugu jamaa na marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…