TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

Pole kibonde Mara ya mwisho tulionana pale upanga kwenye kijiwe chetu dukani tunakula vitu vyetu wewe tunakutambua kama mwana upanga mwenzetu RIP shemela
 
Kila nafsi itaonja umauti- hii ni njia yetu sote yeye ametangulia tu "RIP"
 
nilijua tu kwenye huu uzi huwezi kosekana hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…