Mkuu zama zimebadilika ,under Corona issue stay at home ,social distancing. Kuna nchi kuna kiongoza mkubwa alifariki nadhani ni wa dini,watu wakakusanyika kibao,sasa serikali imeamua wanakijiji wote wawe locked down ili wapimwe door to door kujua kama hawajaambukizwa Corona.Hivi kuna anayejua ratiba ya mazishi ya mama Rwakatare?
Naunga mkono hoja/swali. Hii kitu toka jana nilijiuliza. Je, atazikwaje? Waumini/ndugu/jamaa/marafiki wana wakati mgumu sana!!Hivi kuna anayejua ratiba ya mazishi ya mama Rwakatare?
Alietuloga hata siku ya ufufuo hatafufuka!!Ila watanzania jamaniiiiiii
Sasa nimekosea wapi kusema kuwa Mikocheni B Assemblies of God haiko chini ya TAG?Pole sana mkuu. Unapotosha watu, huyu mama alikuwa mchungaji wa Tanzania Assemblies of God kabla hajajiondoa na kuandika Mikocheni B Assemblies of God. Baada ya kuwa na kanisa kubwa na miradi ya kanisa, alijiondoa kwasababu kwa mujibu wa TAG unatakiwa kukabidhi hati ya ya jengo la kanisa pamoja na miradi makao makuu ili iwe mali ya TAG.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Ila watanzania jamaniiiiiii View attachment 1425628
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameshazikwa teari Leo,,,Naunga mkono hoja/swali. Hii kitu toka jana nilijiuliza. Je, atazikwaje? Waumini/ndugu/jamaa/marafiki wana wakati mgumu sana!!
RIP Nimekumbuka msemo wako baada ya kusema St Mary's ulikuwa unasema Santa Maria.
.mie siaminin jaman.eti naskia kazikwa na manispaa??Ameshazikwa teari Leo,,,
Sijapita hapo sema nimewahi kwenda kwenye graduations mbili na alikuwa akisema wavulana na wasichana wa shule ya Santa Maria.Nadhani nawe umepita hapo..miaka ya 2000's ukiskika unasoma st Marys full maujiko...walikua wanapikiwa had sausage na mikate .dadek..!full ngeli za Kina Lilian Mwasha
Huna hekimaMama si alikuwa anawombea watu wasiumwe yy mbona kaumwa na kufa .yy alikuwa anafufua watu basi naye ajifufue
Kumbe. Sikulijua hili sualaNaweka kumbukumbu sawa Mikocheni Assemblies of God aka Mlima wa Moto haikuwa chini ya Tanzania Assemblies of God.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mwali wangu anazikwa 23rd😳
Bwana Uturehemu!!
Kristo Uturehemu!!