TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Nini ambacho huelewi wewe? Wapi nimesema ALLAH ni Mungu wa huyo marehemu? ALLAH ni Mungu wangu mimi ndio maana namuomba ninayemuamini amfanyie wepesi huyo bibi
Ungelijua ukweli usingepoteza muda wako kuombea mwili uliorudi mavumbini, lakini pia unapaswa ujue kuwa Mungu wa bibi yetu hapatani na huyo Allah inalijua hilo?
 
Nini ambacho huelewi wewe? Wapi nimesema ALLAH ni Mungu wa huyo marehemu? ALLAH ni Mungu wangu mimi ndio maana namuomba ninayemuamini amfanyie wepesi huyo bibi
Samahani, naom
Allah ndio Mungu wa bibi yetu? Sio kweli
Samahani, Naomba kufafanuliwa/kueleweshwa.
Kwa Mungu. Kwa kiingereza tunaita God. Je, kwa kiarabu anaitwaje.?
 
Duh, kanisa lilikua na miradi mingi eeh?
 
Ungelijua ukweli usingepoteza muda wako kuombea mwili uliorudi mavumbini, lakini pia unapaswa ujue kuwa Mungu wa bibi yetu hapatani na huyo Allah inalijua hilo?
Mbona unataka kupangiana maisha wewe? Fanya yako na niache nifanye yangu, nikimuombea wewe unapungukiwa nini?
 
Nat
 
Mwanadamu yeyeto ni maiti inayotembea wote ni wapangaji wapitaji hatuna haki ya kuumiza wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…