Tanzia: Gwiji la muziki wa taarabu Juma Bhalo hatunaye tena

na mnikome waja namnikome! Juma Bhalo
 
Mola akulaze unakostahili.
Kila mja hukumbukwa kwa amali zake duniani.

Ngoja leo tukukumbuke kwa jinsi ulivyokua unalalamikia pete yako uliyoipoteza.
 

Attachments

eti wimbo pete alimwimbia mbaral mwinshehe baada ya kumkimbia mombasa baada ya kupiga show kule,mwinshehe aliposikia amelipiwa chumba na juma bhalo akakimbia mombasa usiku usiku....
 
Nilivyosikia,msemo jogoo hawiki ulianzia kwenye kijembe bibie shakila alichompiga juma bhalo,inasemekana walikua na "beef."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…