Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
The lendary and only one trumpeter wa Afrika Kusini,Hugh Masekela amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78.
Kwa vijana wa kileo itakuwa vigumu kumfahamu huyu gwiji wa jazz toka Sauzi.
Lakini kwa sisi vijana wa siku nyingi tutamkumbuka kwa vibao vyake vingi vya kupinga ubaguzi wa rangi hasa kibao "Stimela".
www.bbc.com/news/entertainment-arts-42786749