TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Daah maisha haya nikifikiria alivyokuwa na mali, leo hazijamsaidia kitu na vyote kaviacha.

Pumzika kwa amani Don, kifo chako kimenihuzunisha sana.

Pole kwa zari, watoto na familia ya IvanDon.
 
Wabongo ukiwa mashuhuri na una vijisent ukifa basi wanaanza story zao wakati kufa hakuhusiani na chochote maana kila mtu atakufa tu haijalishi mwema au mbaya.
Yani wao mafanikio na kufa kwa watu wana relate na yale mambo na wanayaamini kweli kweli.
 
Pole nyingi sana kwa familia yake na watoto wake. Msiba unauma sana
 
Mondi mdogo wangu utaweza kulea watoto hao.. Au ndio mara visenti hunaaaa unarudi tandaleeee meneja umebaki jinaaaa tataaa taaleeees
Haha yule jamaa ukumbukwe alikuwa ni billioneer
 
Huyu jamaa mbona alikuwa mzima siku za karibuni.... Hela zake zinanitia wasiwasi isije ikawa alipitia mfumo wa SK kujipatia hela ya fasta kwa masharti....

R.I.P Ivan
Waswahili mmeanza.
 
Huo mdomo mbona kama mwekundu sana alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani
 
Huyu jamaa mbona alikuwa mzima siku za karibuni.... Hela zake zinanitia wasiwasi isije ikawa alipitia mfumo wa SK kujipatia hela ya fasta kwa masharti....

R.I.P Ivan
Exactly.
Pesa za waganga zina masharti magumu
 
Dah!R.I.P
Kweli maisha yanaenda kasi sana hujafa hujaumbika.
Pole kwa wanawe.
 
Kwahiyo mondi alifurahi mtoto kufanana na huyo Marehemu?

Mkuu tushafundishwa ukauzu na mkuu wetu ukidanja wachaChe wasikitike wengine waendelee na job
Yaan KKKB (kula,kunya kulala kwa baba) mnajulikana kwa posti zenu za undezi any way ukikua utaacha
 
R.I.P IVAN mungu awatie nguvu wale watoto
 
Mi niliona tu hali ilikuwa mbaya jamani,,,Ulale kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…