Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

so sad.....may her soul rest in peace...pole kaka kiiza
 
Reactions: Paw
very sorry, God will provide him with strength, tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu
 
Reactions: Paw
Pole sana broo, mungu atakupa nguvu katika kipindi hichi kigumu kwako.
KAZI YAKE MOLA HAINA MAKOSA
 
Reactions: Paw
Poleni sana kwa msiba mzito... Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi... AMEN..
 
Reactions: Paw
Pole sana kaka yangu kiiza. Mungu akutie nguvu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
kazi ya Mungu haina makosa.
 
Reactions: Paw
Duh very sad......Pole sana Mkuu, Mungu akupe Moyo mkuu katika kipindi hiki kigumu kwako.
 
Reactions: Paw
Pole sana Kaka KIIZA Mungu akupenguvu katika kipindi hichi kigumu cha kuondokewa na mkeo.
 
Reactions: Paw
pole kaka tupo pamoja. Inna lillah wainnaillaiyh rajiun!
 
Reactions: Paw

Msiba uko Tegeta kwa mama wa marehemu. Unashuka Tegeta Namanga, ukiuliza kwa Abdallah Majura, mtangazaji wa zamani wa BBC mtu yoyote anakupeleka.

Tuko pamoja KakaKiiza, mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. AMEN
 
Ooh pole sana mwanachama mwenzetu,Mungu akupe amani katika wakati huu mgumu..
 
Reactions: Paw
Jamaani, poleni sana. Mungu amtie nguvu.
 
Reactions: Paw
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…