Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

Mkuu Kaka Kiiza Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu na kwa mapenzi ya Mungu upate nguvu za kutoka katika wakati huu mgumu

Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi apumzike kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Pole sana KakaKiiza...niko pamoja nawe katika sala. Namuomba Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu na pia hairehemu roho ya mkeo mpendwa apumzike kwa amani. Maneno hayatoshi kuelezea lakini pole sana
 
Last edited by a moderator:
Hapa duniani kila mtu mpita njia. Leo ni zamu ya Mrs Kakakiiza kesho ya kwangu keshokutwa zamu yako. R.I.P Mrs Kakakiiza
 
Msiba uko Tegeta kwa mama wa marehemu. Unashuka Tegeta Namanga, ukiuliza kwa Abdallah Majura, mtangazaji wa zamani wa BBC mtu yoyote anakupeleka.

Tuko pamoja KakaKiiza, mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. AMEN
Duh.. Danzi umicheza kama pele kati taarifa hii...
 
Dah....Mungu Akupe nguvu na moyo mkuu kakakiiza
 
KakaKiiza pole sana. Mungu akupe nguvu katika kukabiliana na jambo hili, siyo kitu rahisi lakini kwa msaada wake Utafanikiwa.


RIP wifi yetu
 
Last edited by a moderator:
RIP Shemeji yetu. Pole sana ndugu yetu KIIZA, Mungu akutie shime kwenye hili.
 
Wana Bodi
Mama Kiiza amefikwa na mauti kwa sababu za ujauzito![/B]
Mkuu Kiresua,
Kwanza asante kwa taarifa.

Pili, matukio kama haya ndipo sisi wana jf tunapotakiwa kuonyesha mshikamano wetu kuwa jf ni zaidi ya keyboard!.

Nyoosha lugha kwenye sababu ya msiba, ujauzito sio sababu ya msiba kwa sababu its a normal process, sababu halisi ni matatizo ya uzazi!.

Mkuu Kaka Kiiza, pole sana kwa msiba huu mkubwa!.

Pamoja sana!.

RIP Kaka Kiiza Wife!.

Pasco.
 
Pole sana mkuu pamoja na wafiwa wote M/Mungu awafariji/kuwatia nguvu katika kipindi hiki cha majonzi
 

RIP. Pole kaka
 
Mungu akutangulie katika kipindi chote cha majonzi,,,,,,pole sana!!
 
Pole sana Kaka Kiiza. Mungu awatie faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwako na na familia nzima.
R.I.P Shemeji
 
Last edited by a moderator:
pole sana bro kiza! inshaAllah mwenyezimungu akupe moyo wa subira! ametangulia na sisi tupo nyuma yake
 
Mungu akuongoze katika kipindi hiki kigumu Kaka kiiza,poleni sana
 
Pole sana Kaka Kiiza, Mungu akupe nguvu ili uweze kukipokea kipindi hiki kigumu.
 
Dah, pole sana kaka.
mungu muaminifu atakuvusha katika hili pia. I hope mtoto ame-survive, omg!
huu ni wito kwa wana-JF, iwatie hasira wote kuwa katika nchi hii tajiri, mwanamke kuzaa watoto ni kujitoa mhanga. Uzazi salama ni ndoto iliyo mbali kabisa. Wakati tunaendelea na mabishano ya kodi ngapi tupate kwenye madini, tusinunue magari tu bali kuboresha huduma ya mama na mtoto. Inanitia hasira sana kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…