Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Mtangazaji nguli wa EA-radio katika kipindi cha michezo Keneth Kidago ametutoka. Misa ya kumuaga inafanyika katka kanisa la KKKT Muhimbili na badae mwili wake kusafirishwa kwenda mkoani Morogoro.
Mungu amlaze mahala pema peponi amen
souce..EA-radio
Mungu amlaze mahala pema peponi amen
souce..EA-radio