TANZIA: Kocha wa zamani wa Simba James Siang'a afariki Dunia

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,455
Taarifa niliyosoma kutoka Mwanaspoti inasema kocha wa zamani wa simba Mzee James Siang'a amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 10/9/2016.

Huyu ndio kocha alifundisha simba kwa mafanikio makubwa

R.I.P Kocha Wetu
 
Siang´a mmoja kati ya makocha bora kabisa waliowahi kuifundisha Simba S C.
 
R.I.P Mzee siang'a simba ya mafanikio ilipitia mikonon mwako
 
rest in peace mzee Siang'a.
amepata kuwa mmoja wa makocha bora sana katika timu ya Simba.
 
Hivi sababu za yeye kuondoka Simba zilikuwa zipi vile?
Alazwe pema Kocha!
 
Taarifa niliyosoma kutoka Mwanaspoti inasema kocha wa zamani wa simba Mzee James Siang'a amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 10/9/2016.

Huyu ndio kocha alifundisha simba kwa mafanikio makubwa

R.I.P Kocha Wetu
RIP KOCHA WETU, TUTAKUPENDA SIKU ZOTE
 
Aliye wahi kuwa kocha wa simba James siang'a afariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwao bungoma nchini kenya

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…