TANZIA: Kocha wa zamani wa Simba James Siang'a afariki Dunia

Upumzike kwa amani Mzee Siang'a. Tutakukumbuka daima.
 
Kweli alikuwa kocha bora wakati wote ktk Simba tutamkumbuka sana Mungu ampe rehema huko aliko.
 
Mojawapo kati ya tabia zake zilizokuwa zikinifurahisha ni ile ya kutaja kikosi hadharani siku moja kabla ya mechi bila kujali anacheza na nani. Na timu karibu zote zilikuwa zinakaa vilevile.
 
Hakika kazi yako bado inaishi.wanasimba hatuta kusahau Siang'a.kweli ulikua kocha bora kwetu.RIP.
 
Upo mbele ya haki Siang'a,pumuzika kwa amani.
 
nimesikitika.ROHO YAKE IWEKWE MAHALI ANAPOSTAHILI AMEN.
 
R.I.P Siang`a....moja kati ya kocha wa kihistoria! ila kinachonisikitisha aliumwa lakini simba hawakumsaidia fedha za matibabu...team za kibongo ovyo kabisa
 
R.I.P James Sian'ga
Mmoja ya makocha bora kutoka Africa Mashariki
 
R.I.P Siang'a.
Poleni watani zetu.
 
Hivi ile Simba ya "dozi" ilikuwa chini ya Siang'a?

RIP Mzee J Siang'a.
 
Hivi sababu za yeye kuondoka Simba zilikuwa zipi vile?
Alazwe pema Kocha!

alidhulumiwa mkuu,ni vema simba wamalizane naye kupitia familia yake,haki zingine hazipotei hivi hivi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…