LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Pole sana ndugu yangu LiverpoolFC Mungu akutie nguvu ya uvumilivu kwa wakati huu mgumu wa uzuni, narudia tena pole saana wewe na mama mzazi wa mtoto!!!!!!!!!!
Pole sana kaka
Poleni sana wazazi, Liverpool & mkeo. Msivunjike moyo wapendwa kwani Mungu bado awapenda sana! May the soul of the little angel rest in peace........amen.
LiverpoolFC na mke wako pamoja na familia yako nzima, nawapa pole kwa msiba uliowafika. Naomba Mungu pekee awapatie faraja na amani ya kweli.
Mzee wa Rula, ubarikiwe kwa kutupa taarifa na kuwa sababu ya Faraja kwa LiverpoolFC na familia yake.
Ohh.
Pole nyingi sana zimfikie yeye na familia yake.Mungu awajalie ujasiri katika kipindi hichi kigumu.
Na huyo malaika apumzike salama.
pole sana mkuu