Tanzia: LiverpoolFC afiwa na mwanae

Polen sana wafiwa,
Mungu awatie nguvu wakati huu mgumu.
 
Pole sana Mkuu LiverpoolFC. Mungu awatie faraja kubwa sana maishani mwenu wewe na familia nzima
 
Pole sana ndugu yangu, Mungu awape faraja kwenye kipindi kigumu.
 
Pole sana kiongozi ni mapenzi ya Mungu
 
Poleni sana wafiwa, Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu mkubwa katika kipindi hiki kigumu
 
Mola awape faraja na moyo wa ujasiri!poleni sana mkuu
 
pole kamanda hakika hakuna machungu madogo ila kzi ya mola haina makosa mpe polesana shemeji yetu tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana LiverpoolFC. Mungu awajalie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Poleni saana na Msiba.... Mungu ampe Liverpool Amani na Imani.
 
Naungana na wanajamvi wenzangu kukupa pole.
 
pole sana mkuu,
mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Pole sna ,bwana ametoa na bwana ametoa jina la bwana lihimidiwe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…