U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jan 9, 2021 #1 Mwendazake huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 92 na kupumzishwa Kijiji cha Mululu kilichopo Kaunti ya Vihiga Mke wa Waziri wa zamani nchini Kenya Moses Mudavadi Mama Mzazi wa mwanasiasa maarufu sana nchini Kenya na Kiongozi wa Chama cha ANC Musalia Mudavadi na wenzake Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe
Mwendazake huyo amefariki akiwa na umri wa miaka 92 na kupumzishwa Kijiji cha Mululu kilichopo Kaunti ya Vihiga Mke wa Waziri wa zamani nchini Kenya Moses Mudavadi Mama Mzazi wa mwanasiasa maarufu sana nchini Kenya na Kiongozi wa Chama cha ANC Musalia Mudavadi na wenzake Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe
S shimwa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,908 Reaction score 1,432 Jan 9, 2021 #2 Poleni wafiwa
Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,007 Jan 9, 2021 #3 Apumzike kwa amani
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Jan 9, 2021 #4 Naangalia KBC kingereza Cha huyu mdada ni kikali sana Kama Cha mkululu wa hapa
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jan 9, 2021 #5 92 amekula chumvi, apate pumzika la amani na mwanga wa milele umwangazie.
U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Jan 9, 2021 Thread starter #6 Fafanua mkuu kwa faida ya wote! QUOTE="Taisho fuyaki, post: 37789545, member: 474726"] Naangalia KBC kingereza Cha huyu mdada ni kikali sana Kama Cha mkululu wa hapa [/QUOTE]
Fafanua mkuu kwa faida ya wote! QUOTE="Taisho fuyaki, post: 37789545, member: 474726"] Naangalia KBC kingereza Cha huyu mdada ni kikali sana Kama Cha mkululu wa hapa [/QUOTE]
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 8,082 Reaction score 17,838 Jan 9, 2021 #7 Ndio nani huyo?
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Jan 9, 2021 #8 Apumzike kwa amani Hannah Wafiwa wana kila sababu ya kusherekea uhai wake amefikisha 70 ya ahadi na 22 ya bonus
Apumzike kwa amani Hannah Wafiwa wana kila sababu ya kusherekea uhai wake amefikisha 70 ya ahadi na 22 ya bonus