Habari toka ndani ya mji Monduli ni kwamba Mbunge wa Wilaya ya Monduli amefiwa na mdogo wake wa kuzaliwa. Na bila shaka ni hbr nzito kwani kifo jamani ni janga kubwa kwa kila awaye yote,Habari hii ya uhakika nimezipokea kutoka ndani ya wilaya lengwa na nitaiboresha zaidi baada ya muda kidogo. Poleni wafiwa ndg jamaa na hata marafiki kwn MUNGU alimpenda zaidi! Nawasilisha!
Mmmmhh! Hata nami nilishindwa tu kusema tusiielewe kisiasa zaidi msiba huu kwa huyu (MB),ila humu jamvini ndg zetu walivyo na machungu za Taifa lao linalodidimizwa na mafisadi wanaweza wakageuza kihivyo! Ila ningeweza niseme niwatake radhi na naomba tusifikiri hivyo!
Mazishi ya Rolnad Ngoyai Lowassa imefanyika leo saa nane mchana Monduli na Amezaliwa 1961 na ameacha mke na watoto wawili. Marehemu amekufa kwa ugonjwa wa ini. Rest In Peace Rolnad Ngoyai.