TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Ally Yusuph Tigana, amefariki dunia

Pamoja na kukimbizwa hospitali Sijaona jitihada za hospitali zikitajwa popote!

Mimi nampongeza awamu ya tano.
 
Pumzika kwa Amani Tigana. Dah nilikuwa nampenda na kuburudika sana ile pace yake ya kutambaa na mpira kwa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…