TANZIA: Mkurugenzi wa ICAP Tanzania, Dkt. Fernando Morales afariki Dunia

Jamani mbona mnaripoti wanaokula vilivyonona tu? Ina maana kipindi hiki wanaokula ugali dagaa hawafi au hawana wa kuwatangaza?
Huu ni mwaka wa kufa wala vinono tu!

Matukio yanajieleza, vipi na wewe unataka kufa tukuletee vinono?
 
Sipo mjini Toto,nipo kijijin njoo unitembelee ila uache tu ukorof


Kumbe upo kijijini nikija basi unichichie kuku mi ntakuletea michembe na karanga.

Aisee mm sio mkorofi ujue.
 
Ni mojawapo ya madakatari bingwa duniani,alikuwa anasaidiana na wizara ya afya kw akaribu sana kuhusu magonjwa kama Tb,HIv hata hii corona ambayo kwa mujibu wa ndugu na marafiki zake ndiyo iliyomuua akiwa nchini Tanzania
.

Ujumbe wa Mwisho wa Doctor Fernando Morales kupitia Whatsap !!!! Aliwaambia ndugu zake Kwamba “nimelazwa kwenye mkeka kama sitapewa Gas ndani ya 2min nitakufa 😰😰😰😰 sitaki kumuogopesha Mama “
.
.
Fernando Morales, the Argentine doctor who died in Tanzania, along with his friend, Verónica De Laforê Source: THE NATION
“I’m on the mat. I don’t want to tell my old lady, but I got really bad in 12 hours. Without oxygen, I won’t survive two minutes.”

 
May his soul Rest in Eternal Peace, he was a great guy, nimefanya nae kazi na nimshiriki nae mikutano mbalimbali ya wadau wa afya

So sad
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe wa Mwisho wa Doctor Fernando Morales kupitia Whatsap !!!! Aliwaambia ndugu zake Kwamba “nimelazwa kwenye mkeka kama sitapewa Gas ndani ya 2min nitakufa 😰😰😰😰 sitaki kumuogopesha Mama “
mmh.. ngumu kumeza hii watu km hawa huwezi kuta wanatibiwa temeke huko wakafanye nini kwanza...alafu kulala kwenye mkeka mmh hospitali zetu hizi mambo ya mikeka hakuna mtabebeshwa hata wawiliwawili kwenye kitanda kimoja...

labda mtuambie walichelewa kumpeleka hospitali kwa bahati mbaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…