Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Inasikitisha π#TANZIA:Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo ametoa salamu za pole kwa familia ya Bw. Girimaru Sindano (36) mkazi wa Kijiji cha Iharara, Wilaya ya Serengeti aliyefariki baada ya Timu ya Yanga kufunga goli la tatu katika mchezo na Timu ya Simba tarehe 5 Novemba, 2023.
Taairfa hii ni kwa mujibu wa Taarifa iliyoandikwa katika ukurasa wa X.COM na Instagram ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara.View attachment 2806852
Dada ametia huruma. Wananchi tumekuwa wakali namna hii duh!!Football is crazy, hapa moshi kuna shabiki wa simba baada ya Mpira kuisha amepelekwa kulazwa hospitali alipatwa na Mshituko wa moyo .
Angalizo ukijiona huwezi kumeza machungu ni bora ujifungie ndani uangalie tv news bbc , cnn , documentaries kimya na unakataza watu wa nyumbani kuleta taarifa zozote.
Angalia huyu sista ππΏ
View: https://m.youtube.com/shorts/2x0AysJKeL4