Taarifa Mkurugenzi wa Kashai Group companies ya jijini Arusha.
Kashai Security
Kashai Games Loliondo
Mwenye vitalu vya uwindaji Loliondo Bwana Kashai amefariki mapema Leo. Hakika kwake tutarejea alikuwa mfanyabiashara mpenda haki na mcheshi kwa kila mtu
Innahlilah wainnahhlay rajioun
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokufa kwa corona Tanzania ni 16. RIP Kashai
bahati wenye akili wanajua uongo huo. Tuwahimize CDM wakusanye vifo vyote, tutachambua baadaye who is whoWaliokufa kwa corona Tanzania ni 16. RIP Kashai
Ukishakufa automatically unakuwa masikini...Rip tajiri
Mazingira ya kifo? Tupatie hata kwa juu juu mkuu kuna data muhimu tunakusanyaTaarifa Mkurugenzi wa Kashai Group companies ya jijini Arusha. Kashai Security.
Kashai Games Loliondo, Mwenye vitalu vya uwindaji Loliondo Bwana Kashai amefariki mapema Leo. Hakika kwake tutarejea, alikuwa mfanyabiashara mpenda haki na mcheshi kwa kila mtu.
Innahlilah wainnahhlay rajioun
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa Mkurugenzi wa Kashai Group companies ya jijini Arusha. Kashai Security.
Kashai Games Loliondo, Mwenye vitalu vya uwindaji Loliondo Bwana Kashai amefariki mapema Leo. Hakika kwake tutarejea, alikuwa mfanyabiashara mpenda haki na mcheshi kwa kila mtu.
Innahlilah wainnahhlay rajioun
Sent using Jamii Forums mobile app