Baada ya kuugua kwa muda mrefu, hatimaye Bibi Cheka ameimaliza Safari yake ya duniani.
Bibi Cheka alikuwa ni msanii wa muziki wa kufokafoka wa Bongo Flavor.
Mungu amlaze pema marehemu.
Asante Mbushuu maana mimi siyo mpenzi wa nyimbo za kurapa ila hii ni mziki mzuri sana. Kumbe mama alikumo kwenye nyanja sauti yake nzuri kuliko hata akina diamond.