Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Msanii-Jebby.jpg

Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.

Msanii Jebby atakumbukwa kwa wimbo wake wa 'Swahiba' aliomshirikisha Afande Sele. Wimbo huo umekuwa ukisikika kunapotokea msiba mkubwa na hata Masogange umauti ulipomkuta wimbo wa ''Swahiba'' umegongwa sana.

RIP Jebby.

Wimbo wa Swahiba
 
Naskiliza taarifa hapa clouds radio

Msanii JEBBY nae kafariki kwao Dodoma

Ikumbukwe Jebby kaimba nyimbo kadhaa ikiwemo SWAHIBA inayotumika sana kupigwa kwenye maombolezo hasa ya wasanii
 
Dah nakumbuka nyimbo yake ya Swahiba kaimba na Selemani Msindi kama sikosei

R.I.P
 
Back
Top Bottom